Isaiah 57:11-12


11 a“Ni nani uliyemhofu hivyo na kumwogopa
hata ukawa mwongo kwangu,
wala hukunikumbuka
au kutafakari hili moyoni mwako?
Si ni kwa sababu nimekuwa kimya muda mrefu
hata huniogopi?
12 bNitaifunua haki yako na matendo yako,
nayo hayatakufaidi.
Copyright information for SwhNEN